Viongozi-Wananchi Connection's Community


Baraza La Maongezi Kwa Watanzania Popote Pale Walipo.
HomeHome  ­PortalPortal  ­CalendarCalendar  ­GalleryGallery  ­FAQFAQ  ­SearchSearch  ­MemberlistMemberlist  ­RegisterRegister  ­Log inLog in  
Search
 
 

Display results as :
 
Rechercher Advanced Search
Latest topics
» "Stop this debate on the Union"- says Mwinyi
Wed Aug 06, 2008 11:02 am by dRU

» MBOWE anahusika vipi na kifo cha CHACHA WANGWE ??
Fri Aug 01, 2008 6:28 am by rekeshei

» Demand ya ubuyu inapoanza kuongezeka
Sun Jul 20, 2008 3:07 am by Admin

» Unaujua ugonjwa wa pumu (asthma) kiundani ? jisomee.
Sun Jul 20, 2008 2:13 am by Admin

» Hatari ya kuzaliwa mtoto wa kike Tanzania
Sun Jul 20, 2008 2:03 am by RAI

» BREAKING NOW: Sababu ya kuvamiwa MWANAHALISI yagundulika
Sun Jul 20, 2008 2:00 am by RAI

» KULIKONI MORO UNITED ??
Sat Jul 19, 2008 11:50 pm by Admin

» DEVELOPING: Kapuya proposes a good idea..but will it work ?
Sat Jul 19, 2008 11:48 pm by Admin

» huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani
Sat Jul 19, 2008 10:16 pm by RAI

Affiliates
free forum
Facebook
Follow us on Twitter
"Stop this debate on the Union"- says Mwinyi
Sun Jul 27, 2008 6:40 pm by rekeshei
Retired president Ali Hassan Mwinyi has intervened in the ongoing public debate about the status of Zanzibar, saying the debate should stop. The elder statesman told a press briefing yesterday that the status of Zanzibar and a series of questions concerning its ‘sovereignty’ should await consultations of attorneys-general of the Union and Zanzibar governments as advised by Premier Mizengo Pinda. ...

[ Full reading ]
Comments: 1
MBOWE anahusika vipi na kifo cha CHACHA WANGWE ??
Wed Jul 30, 2008 4:46 pm by pedejee
Mwenyezi Mungu ampokee marehemu Chacha Zakayo Wangwe na ampumzishe katika makao yake ya milele.

Kwa wale wanaofuatilia mambo ya siasa nchini Tanzania sidhani kama kweli wanaweza wakashtushwa na kichwa cha habari. Kwa muda sasa kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Freeman Aikaeli Mbowe (Mwenyekiti taifa wa CHADEMA) na marehemu Chacha Wangwe. Tofauti hizi zilikuwa ni za kihoja na ikaf...

[ Full reading ]
Comments: 1
BREAKING NOW: Sababu ya kuvamiwa MWANAHALISI yagundulika
Sun Jul 20, 2008 2:00 am by RAI
JESHI la Polisi nchini linaendelea kumchunguza Mhariri wa Gazeti la Mwana Halisi Bw. Saed Kubenea kwa tuhuma za kuhusika kusambaza akaunti za baadhi ya wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwenye mtandao wa Internant kinyume na sheria.

Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Bw. Robert Manumba, baada ya makachero wa Jeshi la Polisi kuva...

[ Full reading ]
Comments: 0
DEVELOPING: Kapuya proposes a good idea..but will it work ?
Thu Jul 17, 2008 2:33 pm by RAI
Kapuya calls for transferability of benefits, pensions

2008-07-17 11:03:02
By Correspondent Rosemary Mirondo


The Confederation of East African Trade Union (EATUC) has been asked to look into the transferability of benefits and pensions.

Minister for Labour, Employment and Youth Development, Prof. Juma Kapuya has called upon EATUC to pu...

[ Full reading ]
Comments: 1
Anna Kilango's Moments: Was It Real Or Was It Hypocrisy ?
Sun Jun 22, 2008 2:42 am by rekeshei
[b]Asalaam Aleykum, karibuni tena siku ya leo katika baraza la maongezi ya watanzania popote pale walipo. Leo nimeamua kuandika habari hii yenye kuonyesha maswali mawili matatu ambayo kwa kweli nisingependa niyajibu mimi binafsi bali nitawaachia wasomaji waweze kuhumu wenyewe.

Hivi karibuni, bila shaka utakuwa umesikia habari za mbunge Anna Kilango (mke wa mzee Malecela) akitoa hoja za...
[/b]

[ Full reading ]
Comments: 5
Jk challenges local gov't authorities: The link between local gov't and the Central gov't.
Thu Jul 17, 2008 2:34 pm by RAI
JK tells local councils: Make your own money

2008-07-17 11:12:47
By Lydia Shekigenda, Korogwe, Tanga


President Jakaya Kikwete has advised local governments to build up their own sources of revenue rather than rely solely on central government subsidies.

Speaking in Korogwe yesterday, President Kikwete said subsidies were only meant to ...

[ Full reading ]
Comments: 0
TULIKOTOKA
Wed Jul 16, 2008 7:20 am by dRU
Paukwa ……. Pakawa … aliondokea chanjagaa mwanangu mwana wa siti kijino kama chikichi …. …………. Naam taim ….!!!!!

Hakika kilikuwa ni kipindi ambacho tulidiriki kusimama na kutembea kifua mbele iwe katika kambi za Jeshi la Kujenga Taifa ama hata katika sherehe za kitaifa huku tukiimba nyimbo za hamasa kwa kutamka kwa imani zaidi tukisema “Tunaimani na Nyerere .. Oya oya oyaaaa .. Ny...

[ Full reading ]
Comments: 2
JUST IN: Mzee Chifupa adai kwamba waliohusika na kifo cha Amina kutajwa..
Sun Jul 13, 2008 3:48 pm by rekeshei
Baba mzazi wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana (UVCCM), marehemu Amina Chifupa, jana alikuja juu akisema kwamba majina ya vigogo waliosababisha kifo cha mwanae wataanikwa hadharani tena mbele ya waandishi wa habari hivi karibuni.

Mzee Hamis Chifupa aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwamba kabla ya mwanae hajafa kuna aliowataja kwa mabaya na ...

[ Full reading ]
Comments: 2
CCM Ina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi mkuu 2010
Tue Jul 15, 2008 4:10 pm by rekeshei
Najua wengi wanaweza kushangaa kwa nini kichwa cha habari kipo kama hivyo kilivyo na wengine hata kunifikiria vibaya kwa nini nimeandika hivyo. Lakini ukweli ni kwamba siku zote katika masuala ya siasa, uvumilivu na uwezo wa kuwa na mbinu mbali mbali ndio mambo makuu mawili ambayo huchangia katika chama chochote kile kuendelea kukaa madarakani. Baada ya kusema hayo ni dhahiri kwamba hadi hivi sasa...

[ Full reading ]
Comments: 0
Statistics
We have 16 registered users
The newest registered user is Daywell

Our users have posted a total of 50 messages in 33 subjects
Forum
Who is Online ?
In total there is 1 user online :: 0 Registered, 0 Hidden and 1 Guest

None

Most users ever online was 5 on Mon Jun 23, 2008 5:57 am